Mga Babae, Kayang-Kaya Niyo! | Sheherekhea Araw ng Kababaihan kasama ang Ubongo Kids!

Mga Babae, Kayang-Kaya Niyo! | Sheherekhea Araw ng Kababaihan kasama ang Ubongo Kids!

Mga Babae, Kayang-Kaya Niyo! | Sheherekhea Araw ng Kababaihan kasama ang Ubongo Kids!

InglesIngles
Taon

2018

Tagal

22m

Genre

Ingles

Sheherekhea Siku ya Wanawake na Ubongo Kids! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:

Maaari Mo Ring Magustuhan