Mwanga, Mwanga! - Ubongo Kids Singalong - African Educational Cartoon

Mwanga, Mwanga! - Ubongo Kids Singalong - African Educational Cartoon

Mwanga, Mwanga! - Ubongo Kids Singalong - African Educational Cartoon

إنجليزيإنجليزي
السنة

2015

المدة

1m

النوع

إنجليزي

Mwanga, mwanga, mwanga! Macho yetu yameona! Imba kuhusu MWANGA na Kiduchu, Kibena, Koba, Baraka na Mama Ndege! Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1. /ubongokids /ubongokids /ubongotz An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.

قد يعجبك أيضًا