Intro... (Chorus) Hawatuwezi Oooh Nana Wanangu Gang Gang Sana (gang gang sanaa) Mwanzo walituona Local sanaa (Local sanaa) Tunakiwasha Ndoooo Mana (Heeeiya) Tunawakalisha Kama (FIMBO KAMA KAWA) Kawa (FIMBO KAMA KAWA) Kama ( FIMBO KAMA KAWA) Dawa (Verce 1) Wakija vibaya Wanakaa Wambea Vikao Watakaa Mawaki nafasi ya kuongea siwapi Huwaga Nawanyanyapaa Nimewapa Nasafi ya Kunijua Jina Wakataka na Nnapokaa Leo Napendwa Sababu Nnacho Nikikosa, Habari zitatapakaa Kung’aa Ndoozeetu Mambo wena Mfwetu Watoto kibao wanalia Dm Sijui Niwagongee Tuu Na nawawashia Full Hauzimi Moto wakiifuu Wanashanga kuona Rapper wakisasa mwenye pigo za kiold Skul Tatizo Hawajulikani Kwa Hivi Nnavyochana Nntabattle na Nani Kwa sasa Michongo yote ya Zamani Naipiga X Kama Petit Man Ni Mimi Tuu na Hizi Stimu za Mjani Chuki ni chuki kwani kitu Gani Acha Utani, Rapper Unayejaribu Kumdiss kwa sasa Hawezekani Si ndotunakimbiza Roho Tunawaumiza Napata kinyaa nikitema yai Sjui yai langu Viza Watu hawaishiwi Visa Ka Natoka Naumiza Kila wanaponiona Camera Kibao wakazani naigiza (Oh My) (Chorus) Hawatuwezi Oooh Nana Wanangu Gang Gang Sana (gang gang sanaa) Mwanzo walituona Local sanaa (Local sanaa) Tunakiwasha Ndoooo Mana (Heeeiya) Tunawakalisha Kama (FIMBO KAMA KAWA) Kawa (FIMBO KAMA KAWA) Kama ( FIMBO KAMA KAWA) Dawa (Verce 2) There They Go wanga There they Go Na ukija Kwenye Mziki Mi kisiki U Better know Why Unaniombea Dhiki, dhiki dhiki mwenzakoo Maana ukija kwenye mziki Kila nnachofanya Ni Miracle Marapa Wadogo nawaonea Mi ni kama Gonjwa naenea wanaonijua kitambo wanaelewa Toka enzi za Uongo na Umbea Kwenye Beat hawakai wanaelea Na Ikawe Funzo Buure nawapea nawaambia Ukweli Sitowaongopea Nawaona Kama Choo ndomana Nawanyea Anayewakimbiza katima michano, Kama sio mimi ni nani mwengine Dundo la Paul likipata Verce ya mbuzi siku zote huwaga Mashine Mwendo haupoi Nawakimbiza speed kwenye Kona haishuki Uspime Idadi ya watu wasionikubari Imekuwa ndogo sana Nahitaji Wengine Wanaobana Nawataka wengine hata Wambea Najitaji Wengine
Maaari Mo Ring Magustuhan
Msodoki Young Killer - SINAGA SWAGGER (remix)
Kayumba - Maumivu(Official Video)
Zuchu - Honey (Official Music Video)
Harmonize - Dunia (Official Music Video)
Marioo feat Harmonize - Away (Official Music Video)
Jay Melody - Mbali Nawe (Official Music)
Mbosso - Amepotea (Official Music Video)
Diamond Platnumz Ft Rayvanny - Iyena (Official Music Video)
Mbosso - Sina Nyota (Official Video)
Geniusjini X66 Ft Jay melody -Far Away ( Official Visualizer)
Zuchu - Chapati (Official Dance Video)
Zuchu - Naringa (Official Music Video)
Zuchu - Mwambieni (Official Music Video)
Diamond Platnumz - Kamata (Official Music Video)
D Voice Ft Mbosso - Mpeni Taarifa (Official Music Video)
Harmonize - Single Again (Official Music Video)
Phina - Sisi ni Wale (Official Music Video)
DIAMOND PLATNUMZ ft OMARION - African Beauty (Clean Version)
Diamond Platnumz - Unachezaje (Official Music Video)
Mbosso - Mtaalam (Official Music Video)
Zuchu - Jaro (Official Music Video)
Harmonize Ft Diamond Platnumz - BADO (Official Music Video)
Jah Prayzah Ft. Diamond Platnumz - Watora Mari (Official Video)
Zuchu - Nyumba Ndogo (Official Music Video)
Mga Komento
1 Mga Komento
